Habari za Punde

BREAKING NEEEEEEEEEWZZZZZ!!!! MASOGANGE AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia muda huu Mafoto Blog. zinasema kuwa Video Queen maarufu nchini, Agness Masogange, amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
Habari hii imethibitishwa na aliyekuwa rafiki yake wa karibu na marehemu pamoja na aliyekuwa Wakili wake. TUTAZIDI KUWAFAHAMISHA ZAIDI KADRI HABARI ZITAKAVYOTUFIKIA.No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.