Habari za Punde

IDD MKWERA NA RAMADHANI SHAURI WASAINI KUZIPIGA MEI 5 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Promota wa mchezo wa ngumi, Evalist Ernest (katikati) akiwatambulisha  mabondia, Iddi Mkwera (kushoto) na Ramadhani Shauri baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Mei 5 mwaka huu katika ukumbi wa Uwanja wa ndani wa Taifa, pambano la raundi 10.
Mabondia Haidar Mchanjo (kushoto) na Amani Bariki 'Manny Chuga'  wakitambulishwa 
Bondia Said Chino (kushoto) akitambiana na Hamza Mchanjo
Bondia Karimu Ramadhani (kushoto) akitambiana na James Kibazange

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.