Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Wakazi wa Mvuti Namanga Chanika nje kidogo ya jiji la Dar es salaam , wakivuka katika daraja la dharula la miti lililojengwa pembezoni mwa Daraja lililokatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. 
 Wakazi wa Mvuti Namanga Chanika nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa upande wa pili wa Daraja lililopo eneo hilo wakisubiri daladala lao linalovuka bila abiria kwa kutumia njia ya dharula baada ya daraja hilo kukatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa Mvuti Namanga Chanika nje kidogo ya jiji la Dar es salaam , wakivuka katika daraja la dharula la miti lililojengwa pembezoni mwa Daraja lililokatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.