Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwahutubia wakazi wa Wilayani Kishapu hivi karibuni wakati wa kilele cha wiki ya upandaji miti iliyofanyika Kitaifa Mkoani Shinyanga.
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Kishapu wakichukua machapisho mbalimbali katika banda la Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania(TFS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya upandaji miti kitaifa iliyofanyika hivi karibuni mkoani Shinyanga.
No comments:
Post a Comment