Habari za Punde

MATUKIO YA MAFURIKO KATIKA PICHA

 Gari la kiwanda cha Pepsi likiwa limenasa na kuzimika katikati ya maji katika barabara ya Best bite Namanga kutokana na njia kujaa maji hadi ndani ya Best Bite waliofanya jitihada za kuyanyonya kwa kutumia mashine na kumwaga nje.
 Hapa ni best bite....
 Hapa ni Mto Msimbazi nyumba zilizopo pembezoni mwa mto huo eneo la Kigogo zikiwa zimefurika maji...
Hapa ni Bondeni njia panda ya kawe vijana wakitumia Fursa wakijaza mchanga katika maroli baada ya kuukusanya kutoka katika mitaro ya eneo hilo kutokana na kukusanywa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.