Habari za Punde

MKUU WA MKOA TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA YA SARATANI, MLANGO WA KIZAZI

 Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika maandamano ya kuunga mkono chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kikazi iliyozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri 
 Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule za Msingi na Sekondari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (hayupo katika picha) jana wakati wa hotuba ya uzinduzi wa chanjo dhidi ya saratani ya mlango wa kikazazi kwa wasichina wa umri wa miaka 14.
 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt Gunini Kamba akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri
 Mkuu wa Wilaya ya Tabora Queen Mlozi akitoa maelezo ya awali wakati wa uzinduzi chanjo kwa watoto wa kike wa miaka 14 ya kuwakinga na saratani ya mlango wa kizazi
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri 
 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt Gunini Kamba (wa pili kushoto) akitoa maelezo kuhusu chanjo ya kinga ya saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wakike wa miaka 14 iliyozinduliwa 
na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kushoto), Wengine nia Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora Janeth Kayanda(wa pili kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Queen Mlozi(kulia)
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akionyesha bomba la sindano na dawa kwa ajili ya kuzindua chanjo ya kuwakinga watoto wa kike na saratani ya shingo ya kizazi iliyozinduliwa 
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa chanjo ya matone ya kuzuia Polio  kwa mtoto aliyezaliwa siku hiyo.Picha na Tiganya Vincent 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.