Habari za Punde

MKWERA AJIFUA KUZIPIGA NA SHAURI MEI 4 IN DOOR TAIFA

Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimfua bondia Idd Mkwera wakati wa mazoezi yake kujiandaa na pambano lake linalotarajia kufanyika mei 4 mwaka huu uwanja wa ndani wa Taifa dhidi ya Ramadhani Shauri katika pambano la raundi 10.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akipambana na Idd Mkwera kushoto wakati wa mazoezi 
Bondia Kelvin Majiba kushoto akipambana na Idd Mkwera wakati wa mazoezi ya Mkwera akijiandaa na mpambano wake na Ramadhani Shauri utakao fanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'INDOOR STADIUM' 
Kelvin Majiba (kushoto) akipambana na Idd Mkwera wakati wa mazoezi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.