Habari za Punde

MSEMAJI ZIMAMOTO AFANYA ZIARA GLOBAL PUBLICATION

 Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi Joseph Mwasabeja (INSP) (wa pili kulia) akimsikiliza kwa makini mmoja ya watayarishaji wa vipindi wa Kampuni ya Global Group (aliyevaa shati ya blue) wakati wa ziara yake yakukuza mahusiano  alipo tembelea kampuni hiyo mapema leo.
 Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi (INSP) Joseph Mwasabeja (kulia) akisalimiana na Meneja wa Kampuni ya Global Group Bw. Abdallah Mrisho (kushoto) alipotembelea Kampuni hiyo mapema leo.
Mwandishi na Mhariri wa gazeti la amani wa Kampuni ya Global Group Bw. Erick Evalist (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi (INSP) Joseph Mwasabeja (wa pili kulia), jinsi Kampuni ya Global Group inavyoendesha shughuli zake kupitia vyombo mbalimbali vilivyopo chini ya kampuni hiyo wakati wa ziara yake yakukuza mahusiano mapema leo. Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.