Habari za Punde

NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO

 Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, akihutubia viongozi na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wakati akifunga kikao cha pili cha baraza hilo kilichofanyika mkoani  Morogoro.
Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu  wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto), akizungumza na wajumbe wa baraza hilo kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, kufunga kikao cha siku ya pili cha baraza hilo, mkoani Morogoro.
  Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa (kulia), akiteta jambo na Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu  wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto), kabla ya kufunga baraza hilo lililokutana kwa siku mbili, mkoani Morogoro.
 Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (hayupo pichani), wakati akifunga kikao cha siku ya pili ya baraza la wafanyakazi kilichofanyika mkoani Morogoro.
 Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu  wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kulia), akimsindikiza Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (kushoto), mara baada ya kufunga kikao cha siku  mbili cha baraza la wafanyakazi mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Sekta ya Ujenzi mara baada ya kufunga kikao cha baraza hilo kilichofanyika mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.