Habari za Punde

NDONDO CUP, KIJITONYAMA UTD 1-FAMILLY FC 1

 Beki wa timu ya Kijitonyama United, Hussein Rupia (kulia) akichuana kuwania mpira na Juma Nduyaya wa Familly Fc, wakati wa mchezo wa Ligi ya Ndondo Cup hatua ya awali uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
 Hussein Rupia (kulia) akiondosha mpira mbele ya Fredy Mariot
 Mpira hauonekani......
 Benny Kerenge wa Kijitonyama (kulia) akichuana kuwania mpira na Hussein Juma wa Familly Fc....
Hapa nani anamlinda  nani na nani anasubiri mpira???

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.