Habari za Punde

NDONDO CUP, KIJITONYAMA UTD VS KAWE HEROES HAKUNA MBABE

 Kiungo wa Kijitonyama Utd, Jimmy Bayo (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Kawe Heroes, Jerry Santo, wakati wa mchezo wa Ndondo Cup uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam,jana. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Mshambuliaji wa Kawe Heroes,Jerry Santo, akijaribu kujikunja kupiga shuti mbele ya wachezaji wa Kijitonyama Utd, wakati wa mchezo wa Ndondo Cup uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam,jana
 Mshambuliaji wa Kijitonyama Utd, Ally Makame, (kushoto) akimtoka beki wa Kawe Heroes, Oscar Modest, wakati wa mchezo wa Ndondo Cup uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam,jana.
 Hupiti hapa........
 Mshambuliaji wa Kijitonyama Utd, Kassim Athuman,akijaribu kukatiza katikati ya mabeki wa Kawe Heroes.
 Beki wa Kijitonyama Utd, Hussein Lupia akiwania mpira na Aboubakar Mulisali wa Kawe Heroes
 Kiungo wa Kijitonyama Utd, Jimmy Bayo (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Kawe Heroes, Jerry Santo, wakati wa mchezo wa Ndondo Cup uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam,jana.
Beki wa Kawe Heroes, Oscar Modest (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Kijitonyama Utd, Ally Makame, wakati wa mchezo wa Ndondo Cup uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam,jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.