Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAJAJI 10, WAKILI MKUU, MANAIBU MWANASHERIA MKUU, MKURUGENZI WA MASHITAKA NA WAKILI MKUU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Thadeo Marco Mwenempazi mmoja wa wateule 10 walioapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt. Ally Salehe Possi kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Prof. Mussa Assad baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Mhe. Dkt. Ally Saleh Possi baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Jaji Kiongozi Mhe Ferdinand Wambali baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais Magufuli akifurahi na waandishi wa habari wa ITV Godfrey Monyo (kulia) na Idrisa Magomeni.
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.