Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI KILIMANJARO KWA NDEGE YA ABIRIA LEO

 zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Marubani wa Ndege ya abiria ya ATCL wakati akielekea kupanda ndege hiyo kuelekea mkoani Kilimanjaro na badae mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL kuelekea mkoani Kilimanjaro na baadae mkoani Manyara. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.