Habari za Punde

REAL MADRID YAISHANGAZA BAYERN MUNICH KWAO YAIPA 2-1

Wachezaji wa Real Madrid,wakishangilia moja ya mabao yao mawili dhidi ya Bayern Munich jana usiku katika Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bayern Munich walitangulia kwa bao la Josh Kimmich dakika ya 28 kabla ya Marcelo kuisawazishia Real dakika ya 44.
Marco Asensio akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 57.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.