Mshambuliaji waq Simba, Emmanuel Okwi akifunga bao pekee katika mcheo huo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.Katika mchezo huo Simba wameibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Emmanuel Okwi. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mshambuliaji wa Simba John Bocco (katikati) akiwania mpira na kipa wa Mtibwa Sugar, Benedict Tinocco, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Beki wa Mtibwa Suga, Isihaka Hassa (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
MSHAMBULIAJI wa Simba John Bocco (kulia) akiwania mpira na beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
KIiungo wa Simba Muzamiru Yassin (kushoto) akijaribu kumdhibiti mchezaji wa Mtibwa Sugar Kibwana Shomari, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
Muzamiru Yassin (katikati) akijaribu kuwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
No comments:
Post a Comment