Habari za Punde

SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.