Habari za Punde

WIKI YA TPA YASHEREHEKEA MIAKA 13 KWA KUTOA MSAADA WA VIFAA VYA WAGONJWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Nuru Mhando (kushoto) akimkabidhidhi msaada wa viti vya wagonjwa (Wheel Chair) Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Hospitali ya Taifa Muhimbili, Agnes Mtawa, kwa ajili ya Wodi ya Watoto wakati wa hafla fupi iliyofanyika Hospitalini hapo leo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya TPA kutimiza miaka 13. Mbali na Viti hivyo pia Nuru alikabidhi vifaa vya Digital vya kupimia joto (themometer) kwa pamoja vikiwa na thamani ya sh. milioni 10. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Viongozi hao wakifurahi na baadhi ya watoto waliolazwa katika wodi hiyo baada ya makabidhiano
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Nuru Mhando (kushoto) akimkabidhidhi msaada wa vipimia joto vya wagonjwa (Themometer) Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Hospitali ya Taifa Muhimbili, Agnes Mtawa, kwa ajili ya Wodi ya Watoto wakati wa hafla fupi iliyofanyika Hospitalini hapo leo. 
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.