Habari za Punde

WADAU WAKUTANA KUJADILI MABADILIKO YA TABIANCHI

 Mkurugenzi wa Tathmini ya Athari kwa Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Dkt. Fadhila Khatib akifungua warsha ya wadau kuhusu usimamizi jumuishi wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi maeneo ya Pwani, warsha hiyo inaendelea katika Ukumbi wa NIMR Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Warsha Jumuishi ya usimamizi wa masuala ya mabadiliko ya Tabia nchi katika maeneo ya Pwani wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (pichani juu)
Picha ya pamoja
 Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.