Habari za Punde

ZIARA YA DKT MAGUFULI MKOANI IRINGA

 Taaswira ya Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Isimani mkoani Iringa, Barabara hiyo ya kutoka Iringa- Migori hadi Fufu km 189 imefunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kijiji Ndolela mkoani Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Migori wakati akiwa njiani kuelekea Isimani mkoani Iringa ambapo alifungua rasmi Barabara ya  Iringa- Migori hadi Fufu km 189. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.