Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom kwa nahodha wa Simba SC John Bocco baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom kwa nahodha wa Simba SC John Bocco baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Tanzania ambayo ni Washindi wa Pili wa michuano ya dunia ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo Tanzania ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 na Brazil huku Urusi. Hii ilikuwa baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Serengeti Boys ambao ni mabingwa wa Kombe la vijana wa umri wa chini ya miaka 17 wa CECAFA wa baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja waamuzi na wasimamizi baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja wachezaji na iongozi wa Kagera Suger baada ya mchezo wao wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na Simba SC ambapo Kagera sugar walishinda bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mashabiki wa soka mikono baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.