Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Kinyozi Mwanamama akimnyoa nywele mteja wake chini ya mti kama alivyonaswa na kamera ya mafoto Blog katika mtaa wa Dashn Tou mjini Guangzhou nchini China hivi karibuni, huku baadhi ya wateja wakiwa katika foleni kusubiri huduma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.