Habari za Punde

KUTOKA NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA DAR

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akielekezwa jambo na muongozaji wa Trekta la kulimia,kuandaa na kuvuna, Abubkar Amani, wakati katibu huyo alipotembelea katika Banda la Wizara ya Viwanda na kukagua na kulijaribu Trekta hilo lililotengenezwa na kubuniwa na Taasisi ya CAMARTEC (CFT) katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

 Katibu akiendesha Trekta hilo kulijaribu.
 Baadhi ya Wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakiwa katika foleni ya kupatiwa huduma ya vitambulisho ya utaifakatika Viwanja ya Sabasaba
 Ofisa Usajili ii wa NIDA, Theopister Bahunde (kulia) akimwelekeza na kumsimamia Jonathan Phill, kutia saini ya Dole gumba wakati akimwandalia Kitambulisho cha Utaifa ndani Banda la NIDA lililopo katika maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimata katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.
 Shughuli mbalimbali zikiendelea ndani ya Banda ya NIDA
Baadhi ya wafanyakazi wa Property International wakiwa ndani ya Banda lao katika Viwanja hivyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.