Habari za Punde

MKURUGENZI WA UCHAGUZI DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKABIDHIWA RASMI OFISI NA MTANGULIZI WAKE

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akisaini taarifa ya makabidhiano ya ofisini na mtangulizi wake Bw. Kailima Ramadhani ambaye sasa ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Baadhi ya Wakuu wa Idara za Tume ya Taifa ya Uchaguzi  wakishuhudia utiaji saini wa taarifa ya makabidhiano ya ofisini kati ya Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kulia) na mtangulizi wake Bw. Kailima Ramadhani ambaye sasa ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Wakikabidhiana nyaraka za ofisi baada ya kutiliana saini

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.