Habari za Punde

POLISI WASTAAFU WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO

Mwenyekiti wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) Kamishna mstaafu Suleiman Kova akizungumza katika ufunguzi wa semina ya wastaafu hao ambapo walipatiwa elimu ya kupata mikopo ya kustaafu na benki ya Azania.
Meneja wa huduma za mikopo kutoka benki ya Azania Thobias Samwel akizungumza na wanachama wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) wakati wa semina maalum ya kuwapatia elimu ya kupata mikopo ya kustaafu.
Wanachama wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa semina maalum ya kuwapatia elimu ya kupata mikopo ya kustaafu iliyotolewa na benki ya Azania wakati wa kikao chao jijini Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.