Habari za Punde

RIDHIWANI KIKWETE AWASHUKURU MAASKOFU WA MOROGORO KWA KUTAMBUA MCHANGO WA BABA YAKE

  Mbunge wa Chalinze Ridhiwani KIKWETE, akisalimiana na Mhashamu Kadinali Pengo  na Mhashamu Askofu Mkude baada ya Kuzungumza na Umma wa Watanzania wa Morogoro waliohudhuria Sherehe za Ufunguzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kigurunyembe , ikiwa ni Shukurani  kwa Zawadi ya Picha kuonyesha Kushukuru kwa Mchango alioutoa Mzazi wake Mhe.. Jakaya Kikwete kwa Ujenzi wa Kanisa.
Akiwashukuru maaskofu baada ya kukabidhiwa Zawadi hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.