Habari za Punde

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAONGOZA VIONGOZI, WABUNGE, WANANCHI KUAGA MWILI WA PROFESA MAJI MAREFU

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Maji marefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, jana. Marehemu Maji Marefu anatarajia kuzikwa leo Korogwe mkoani Tanga.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Maji marefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, jana.
 Mwili wa marehemu ukiwasili kwenye viwanja vya Karimjee.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Maji marefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
George Mkuchika, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Maji marefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
 Mwakilishi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mbatia, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Maji marefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Maji marefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
 Mbunge Nape Nnauye, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Maji marefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
 Sehemu ya viongozi waliohudhuria shughuli za kuaga mwili katika viwanja vya Karimjee.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na baadhi ya viongozi wakiwa katika viwanja vya Karimjee.
 Sehemu ya familia ya marehemu Profesa Maji Marefu. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 Salamu za rambi rambi zikitolewa
 Waziri Mkuu akitoa salamu za rambirambi 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijini, Profesa Steven Ngonyani 'Majimarefu', wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwafariji wanafamilia wa marehemu Profesa Maji marefu
 Naibu Spika Tulia Ackson, akiwafariji wafiwa
 Spika Mstaafu Anne Makinda akiwafariji wafiwa
Mbunge William Ngeleja, akizungumzia juu ya kifo cha mbunge mwenzao...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.