Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, DALDALA LAFELI BREKI NA KUGONGA BODABODA

Abiria wa bodaboda (aliyekaa chini) ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema, akiugulia maumivu baada ya pikipiki aliyokuwa amepakizwa kugongwa na Daladala (la nyuma pichani) na kuwarusha mtaroni na dereva wake kutokana na dalada hilo kufeli breki katika barabara ya Goba mbele ya Hospitali ya Masana Mbezi Beach Dar es Salaam,jana. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.