Habari za Punde

KIKOSI CHA KWANZA KINACHOANA NA RAYON SPORTS RWANDA

Kikosi cha Yanga.
****************************************
Yanga inashuka dimbani leo kukipiga na Rayon Sports ya nchini Rwanda katika mchezo utakaoanza muda mchache ujao saa 9 alasiri.
Mchezo huo ni wa kukamilisha ratiba wa kundi D kombe la Shirikisho utachezwa katika Mji wa Kigali.

KIKOSI CHA KWANZA YANGA 
Beno Kakolanya
Abdala Shaibu 'Ninja'
Gadiel Michael 
Andrew Vicent 'Dante'
Kelvin Yondani
Pius Buswita
Raphael Daud
Deus Kaseke 
Ibrahim Ajib
Matheo Anthony
Heritier Makambo

KIKOSI CHA KWANZA RAYON SPORTS
Bashunga Abuba 
Ange Mutsinzi 
Rutanga Eric
Abdul Rwatubyaye 
Mugabo Gabriel 
Mugisha Francois 
Nyandwi Saddam 
Prosper Donkor 
Bimenyimana Caleb 
Muhire Kelvin 
Manishimwe Djabeli

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.