Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA MAZIKO YA SHADRACK SAGATI WILAYANI BUNDA

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa akitoa salamu za pole kwa niaba ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda, mkoani Mara mapema jana.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Viwanda  Biashara na Uwekezaji Bi. Emma Lyimo akitoa pole kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara hiyo wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda, mkoani Mara mapema jana.
Mwakilishi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bi. Gaudensia Simwanza akitoa salamu za pole kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Waombolezaji wakielekea katika viwanja vya makaburi ya familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji mara baada ya ibada ya mazishi  yake iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Mzee wa Kanisa la Kisabato Usharika wa Mwiruruma Wilayani Bunda mkoani Mara Bw. John Taitus akitoa mahubiri wakati wa ibada ya mazishi  ya marehemu Shadrack Sagati aliyekuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara ambaye alifariki hivi karibuni kwa ajali,  ibada ya mazishi  yake ilifanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara  Tanzania (TAnTRADE) Bw. Edwin Rutageruka akitoa pole  kwa  Bi. Cesilia Sagati ambaye ni mjane wa marehemu Shadrack Sagati  wakati wa  kuaga mwili wa marehemu kabla ya kuzikwa kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Mjane wa marehemu marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji (Katikati) Bi. Cesilia Sagati  akiwa kwenye ibada ya kuaga mwili wa marememu mume wake kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda, mkoani Mara kabla ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya familia hiyo kijijini hapo.
Wawakilishi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO)wakiongozwa na Bi. Gaudensia Simwanza (kushoto) wakiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara  na Uwekezaji  Bw. Shadrack Sagati ambaye alifariki hivi karibuni kwa ajali, ibada ya mazishi  ilifanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda 
Mjane wa marehemu marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji (Katikati) Bi. Cesilia Sagati  akiweka shada la maua wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini Mwiruruma, Wilayani Bunda 
Mwili wa marehemu Shadrack Sagati ukishushwa kaburini
alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji  Bi. Cesilia Sagati (watano kutoka kulia) mara baada ya mazishi yaliyofanyika jana kijijini kwao Mwiruruma, Bunda mkoani Mara.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TAnTRADE) Bw. Edwin Rutageruka akitoa salamu za pole kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati wakati wa Ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Bunda mkoani Mara.
Sehemu ya waombolezaji waliofika katika mazishi ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wakifuatilia ibada ya mazishi yaliyofanyika jana kijijini kwao Mwiruruma, Bunda mkoani Mara. Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.