Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma waliokusanyika katika viwanja vya Mukendo vilivyopo Musoma mjini kwa ajili ya kumsikiliza mara baada ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.