Habari za Punde

SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) WAZINDUA LOGO MPYA

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, (katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika na Reli Tanzania TRC, Masanja Kadogosa (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo, Prof. John Kondoro (wa pili kushoto), Mkuu wa msambazaji, Riaz Lodhi (wa pili kulia)  na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja wa shirika hilo, Catherine Moshi (kushoto) kwa pamoja wakionyesha bendera yenye nembo mpya ya TRC kuashiria uzinduzi rasmi wa Logo mpya ya Shirika hilo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za TRC jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, (wa tatu kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika na Reli Tanzania TRC, Masanja Kadogosa (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo, Prof. John Kondoro (wa tatu kushoto), Mkuu wa msambazaji, Riaz Lodhi (wa pili kulia)  na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja wa shirika hilo, Catherine Moshi (wa pili kushoto) kwa pamoja wakionyesha bendera yenye nembo mpya ya TRC kuashiria uzinduzi rasmi wa Logo mpya ya Shirika hilo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za TRC jijini Dar es Salaam, jana. Kushoto  ni Mtaalamu wa masuala ya Kijamii wa shirika hilo, Catherine Mroso.
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, (wa tatu kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika na Reli Tanzania TRC, Masanja Kadogosa (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo, Prof. John Kondoro (wa pili kushoto), Mkuu wa msambazaji, Riaz Lodhi (wa tatu kulia)  Meneja Uhusiano Jamilla Mbarouk (kulia) na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja wa shirika hilo, Catherine Moshi (kushoto) kwa pamoja wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Logo mpya ya Shirika hilo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za TRC jijini Dar es Salaam, leo mchana.
 Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, akizungumza machache katika hafla hiyo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRC, Prof. John Kondoro, akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi,
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, akizungumza katika hafla hiyo.
 Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa TRC wakiangalia ramani ya Mradi wa Standard Gauge baada ya hafla ya uzinduzi wa Logo mpya ya TRC.
 Picha ya pamoja
Maofisa, warembo wa TRC wakipozi kwa picha baada ya uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.