Habari za Punde

POGBA ANAVYOENDELEA KUMDUWAZA MOURINHO MAN U IKISHINDA 4-1


Pogba akifunga bao la pili katika mchezo huo, ambapo kwa ushindi huo wa tatu mfululizo baada ya kutimuliwa aliyekuwa kocha wake Mourinho, na kuwa chini ya kocha, Ole Gunnar Solskjaer, Manchester United inafikisha jumla ya pointi 35 baada ya kucheza mechi 20, ingawa inaendelea kushika nafasi ya sita nyuma ya Arsenal yenye pointi 38 na mechi 20 pia.

Paul Pogba akishangilia moja kati mabao yake aliyofunga katikamchezo wa jana katika dakika ya tano na 33 Manchester Unitedikishinda mabao 4-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Manchester United yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya 45 na Romelu Lukaku dakika ya 72, wakati la AFC Bournemouth lilifungwa Nathan Ake dakika ya 45 Plas kabla ya kumalizika kipindi chakwanza


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.